
Uchambuzi Bajeti ya TAMISEMI 2024/25
Katika mwaka huu wa fedha 2024/25, bajeti ya TAMISEMI inachukua takribani asilimia 24 ya bajeti yote ya Serikali ingawa kwa ujumla bajeti hii haina utofauti sana na bajeti ya mwaka 2023/24

Katika mwaka huu wa fedha 2024/25, bajeti ya TAMISEMI inachukua takribani asilimia 24 ya bajeti yote ya Serikali ingawa kwa ujumla bajeti hii haina utofauti sana na bajeti ya mwaka 2023/24

We spend five years complaining about corrupt leadership, but then we elect them again.

Speaking in Mbeya the secretary-general of the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) has condemned the statement of a youth leader who proposes for the party to make critics disappear calling it a foolish utterance

Many have speculated that Makonda’s statement targets the influential U.S.-based activist Mange Kimambi, who is known for using harsh and sometimes abusive language in her activism.

Teuzi hizo zinatoa taswira ya ubovu wa mifumo yetu ya kisiasa – na uadilifu kutokea juu kwenda chini.

Makame alitoweka Agosti 19, 2020, alipokwenda kwenye mazoezi, kama kawaida yake, akikimbia na kuogelea katika eneo la Mazizini, mjini Unguja. Hakuonekana tena mpaka leo, akiacha familia na marafiki katika simanzi kubwa.

Lack of transparency and communication are key to the generally negative reaction to major government pronouncements.

Namna pekee ambayo haitakuwa na madhara kwa ACT-Wazalendo ni endapo kama chama hicho hakimaanishi kile inachosema, yaani inatishia nyau tu lakini inajua haiwezi kutoka kwenye SUK.

Wakati Serikali ikieleza kwamba inafanya kila linalowezekana kuboresha ustawi wa vijana hao kambini, wenyewe wanadai hali ni ngumu na kulazimika kutafuta shughuli nyingine za kujikimu.

Pengine kuna umuhimu wa kuweka mabango kwenye kila eneo ambalo wananchi wanajitoa ili taarifa hizo zikae kwa uwazi, na kuchochea uwajibikaji.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved