Sheikh Issa Ponda: Utaifishaji Ulikuwa ni Aina Nyingine Tu ya Unyang’anyi
Kiongozi huyo wa dini anaiambia The Chanzo kwenye mahojiano maalum kwamba sera hiyo iliyotekelezwa na Serikali ya awamu ya kwanza ndiyo iliyoweka misingi ya ukosefu wa uadilifu miongoni mwa viongozi wa umma, kwamba ilijenga dhana kwamba Serikali inaweza kumiliki hata kile kisichokuwa chake.