
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar, Dkt. Rahma Salim Mahfoudh Ateuliwa Kuwa Naibu Gavana wa BOT
Dkt Mahfoudh anakuwa mwanamke wa tatu kushika wadhifa wa Naibu Gavana katika historia ya BOT, ambapo uteuzi wake umefuata uteuzi wa Sauda Msemo aliyeteuliwa na Rais Samia kuwa Naibu Gavana mnamo Juni 01, 2022.








