
Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA Watangaza Wiki ya Mashujaa wa Demokrasia Tanzania, Kilele Septemba 07
Bendera za chama hicho zitapepea nusu mlingoti nchi nzima kuwakumbuka wanachama wao na wapigania demokrasia waliofungwa, kutekwa, kupotezwa na hata kuuwawa Tanzania







