Uchaguzi Mkuu 2020: Je, Watanzania Watapiga Kura? 19 October 2020 Jumla ya wapiga kura milioni 29.19 wamejiandikisha kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2020. Je, watajitokeza kufanya hivyo ifikapo Octoba 28?