
Polisi Wazuia Mkutano wa Waandishi wa Habari wa Heche, Waeleza Sababu ni Amri ya Mahakama Iliyozuia Shuhuli za CHADEMA
Polisi waliofika katika eneo la mkutano walieleza kuwa, shughuli hiyo haikutakiwa kufanyika kutokana na kuwa kuna amri ya Mahakama iliyositisha shughuli zote za chama hicho.







