ACT-Wazalendo Isiipatie CCM Inachotaka kwa Kujitoa Serikali ya Umoja wa Kitaifa
Viongozi wa ACT-Wazalendo wanapaswa kulitafakari kwa kina suala hili na kutoruhusu kuendeshwa na hasira na jazba. Hasira, hasara, Waswahili wanaonya.
Viongozi wa ACT-Wazalendo wanapaswa kulitafakari kwa kina suala hili na kutoruhusu kuendeshwa na hasira na jazba. Hasira, hasara, Waswahili wanaonya.
Hizi hapa sababu nne za kwa nini SUK Zanzibar imefeli na kwa nini ni wakati wa kutafakari mbinu mbadala za ushiriki wa upinzani katika Serikali.
Ismail Jussa, mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo, anatolea ufafanuzi wa suala hili na mengineyo mengi kwenye sehemu hii ya kwanza ya mahojiano maalum kati yake na The Chanzo.
Suluhisho sio kujiunga ama kutojiunga kwa ACT-Wazalendo katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Suluhisho ni kufanyika kwa mjadala wa kina kuhusu tuhuma za kasoro za kimfumo zinazoibuka kila wakati wa uchaguzi na kuzifanyia kazi.
Maridhiano yalikuwa ahueni ya kisiasa kwa Rais na Serikali yake. Kutoa sifa kwa suala ambalo halikutimilika ni sawa na kujipakaa mafuta mwilini bila kuoga.
Tunawapongeza kwa huduma zao hizo kwa jamii, na kutumai kwamba kutambuliwa kwao huko kutawahamasisha wengine kubuni mbinu anuwai zitakazowawezesha kuzitumikia vyema jamii zao.
Kuna yaliyowagawa wananchi na kulitia aibu taifa, lakini pia yaliyowaunganisha na kuwafakharisha Watanzania.
Ukiangalia maamuzi mabovu yanayoendelea sasa hivi, huoni kama yanawakera Simba na Yanga, na kama ni jambo linalohitaji kukemewa na kuchukuliwa hatua sahihi.
CHADEMA wamefanikiwa kutuma ujumbe kwamba Serikali inayotumia jina la Watanzania kuhalalisha maamuzi yake mbalimbali, kimsingi, haijali maslahi ya Watanzania.
Jumatano ya Septemba 4, 2024, ACT Wazalendo tunafurahi na kuenzi maisha ya kisiasa na uongozi ya Juma Duni Haji, kiongozi wetu aliyetuvusha kwenye mapito mengi.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved