
CCM Yafanya Mabadiliko Mengine ya Katiba Mei 29, 2025: Vikao vya Kidigitali, Yaongeza Idadi ya Wajumbe Baraza la Wadhamini na Sharti la Ruhusa ya Miradi
Mabadiliko hayo yanajumuisha kuruhusu mikutano ya kidigitali, kuongeza wajumbe wa baraza la wadhamini na namna ya kutoa ruhusa ya miradi








