
Pembejeo za Ruzuku Zahusishwa na Kushuka kwa Uzalishaji wa Korosho Mtwara
Mwaka 2022/2023, Serikali ilitoa pembejeo za viuatilifu vya unga tani 15,000 na viuatilifu vya maji lita 2,600,000 kwa wakulima wa korosho nchi nzima.

Mwaka 2022/2023, Serikali ilitoa pembejeo za viuatilifu vya unga tani 15,000 na viuatilifu vya maji lita 2,600,000 kwa wakulima wa korosho nchi nzima.

Ni kutokana na uwekezaji mkubwa taifa hilo la Afrika Magharibi linafanya kwenye sekta ya michezo.

Kama kwa sasa wewe ni mtu mzuri, haimaanishi kuwa wazazi au walimu wako walikupiga sana wakati ukiwa mtoto. La hasha!

In our briefing today: World Bank: Universal access to water supply, sanitation, and hygiene could reduce Tanzania’s economic losses by $1.9 billion per year by 2030; Tanzania bans 16 books for endangering the upbringing of children in the country; Arbitration commences in Washington as Canadian mining company sues Tanzania; Activists rescue Kenya’s schoolboy who was trafficked to Tanzania; Tanzania invites investors to the Tanzania Mining and Investment Forum 2023.

Serikali inataka wakulima hao wadogo kuacha kulima kwenye mashamba yao ikidai mashamba hayo yapo kwenye eneo la Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.

In our briefing today: MV Mwanza, the locally-manufactured vessel, launches operations in Lake Victoria; CDF Mkunda holds talks with Oman’s Deputy PM for Defence Affairs; Govt beefs up border surveillance as cholera kills over 1,200 in Malawi

Dennis Phombeah mmoja kati ya wajumbe 17 walioasisi TANU anatajwa kama shushushu wa kipekee katika ukanda wa Afrika Mashariki wakati huo.

CHADEMA inaongoza kwa kufanya mikutano mingi ya hadhara tangu zuio dhidi ya mikutano hiyo litenguliwe mapema mwaka huu.

Serikali yasema inalitambua tatizo na tayari iko mbioni kulitatua.

Angalau watoto njiti 36 wapatiwa huduma katika Kitengo cha Watoto Njiti katika Hospitali ya Wilaya ya Bahi, Dodoma.