Tanzania Imerudi Kwenye Nyakati za Giza?
Najiuliza tena au ni sisi raia pekee tunaoamini maneno ya Rais na kuyachukulia kwa uzito au kuna namna watendaji wake wana uhuru wa kuyatafsiri kwa namna wanavyopenda; kwamba kwao zile 4R zinaweza kuwa 4K; Kuteka, Kutesa, Kuua na Kupoteza?