The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on April 20, 2024. Register Here

Tag: headlines

Tuungane Kuitokomeza Malaria

Kampeni za Malaria zimepoa kwa muda sasa. Labda kwasababu mambo ni mengi na muda ni mchache; magonjwa yasiyoambukizwa yanashika kasi na magonjwa ya mlipuko yanaongezeka duniani kote lakini hii haibadilishi ukweli kuwa kila dakika, mtoto aliye chini ya miaka 5 anafariki kwasababu ya malaria duniani.

×