Ida Hadjivayanis Aichambua ‘Peponi’ Ya Abdulrazak Gurnah
Asifu hatua ya Serikali kufadhili kazi za uandishi bunifu; asema haoni uamuzi huo ukikinzana na dhana ya uhuru wa mwandishi.
Asifu hatua ya Serikali kufadhili kazi za uandishi bunifu; asema haoni uamuzi huo ukikinzana na dhana ya uhuru wa mwandishi.
The Nobel laureate says in this acceptance lecture that he started writing after realizing that there was a task to be done and regrets and grievances to be drawn out and considered.
Heshima iliyopo kati ya Ida na Gurnah ni zaidi ya ile itokanayo na umri au asili; ni heshima itokanayo na kuikubali kazi ya fasihi ambayo kila mmoja ameonesha kuwa nguli.
Serikali imekuwa ikiwashangilia raia wenye asili ya Tanzania wanapofanya vizuri ughaibuni lakini imekuwa nzito kuwapatia raia hao hadhi ya uraia pacha.
The list includes a book by BBC Swahili journalist Zuhura Yunus as well as those by this year’s winner of the Nobel Prize in Literature Abdulrazak Gurnah.
Shime kwenu wazazi popote mlipo, wajengeeni watoto ari ya kuandika barua; itawasaidia kuboresha ujuzi wa uandishi na umahiri katika uchaguzi na mpangilio wa maneno.
Tamasha hilo la kwanza na la aina yake lilivutia zaidi ya watu 1,500 kutoka ndani na nje ya nchi.
Kuna lahaja nyingi na kumekuwa na lahaja tofauti tangu awali, na sasa kuna njia nyingi za kusema Kiswahili.
Ni hadithi iliyoandikwa na Alex La Guma, mwanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi raia wa Afrika ya Kusini, aliyezaliwa mnamo Februari 20, 1924, na kufariki Oktoba 11, 1985.
Bila viongozi wa nchi kutengeneza fursa za makusudi, hakuna mwandishi bunifu atakayehamasika kufika mbali.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved