‘Ilala ni Soka’ Ina Lengo Zuri Kukuza Soka Ngazi ya Vitongoji. Lakini Kuna Kasoro za Msingi
Hao vijana walio kwenye vitongoji hivyo, hawapati nafasi ya kucheza kwenye timu zilizojaa wachezaji wenye umri mkubwa na kwa kuwa timu ni za kukusanyana, hazina mafunzo mazuri kutoka kwa kocha.