
Tanzania, Burundi Kick Off Landmark Standard Gauge Railway Project
The cross-border project will cover 240 kilometers of main track and 60 kilometers of passing loop, with a total investment estimated at USD 2.154 billion.

The cross-border project will cover 240 kilometers of main track and 60 kilometers of passing loop, with a total investment estimated at USD 2.154 billion.

Katika uamuzi wake Jaji Elizabeth Mkwizu wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam amesema kuwa maombi hayo hayakuwa na mashiko akibainisha kuwa uamuzi wa Mahakama ya Kisutu ulizingatia haki ya pande zote ikiwemo mshtakiwa kusikilizwa kwa usawa na usalama wa mashahidi.

Kwa mujibu wa TRA, aina za biashara zinazohitajika kujisajili ni pamoja na; Wauzaji wa bidhaa kupitia majukwaa ya mtandaoni, Wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs) wanaofanya biashara mtandaoni kupitia masoko ya kidijitali au tovuti zao na wamiliki wa mali binafsi wanaotoa huduma za upangishaji kwa njia ya mtandao.

Hifadhi imeendelea kulikalia eneo hilo la mita 800 licha ya Serikali kuendelea kukiri kwamba uamuzi wa kulichukua ulifanyika kimakosa.

Jina la Skunk limetokana na harufu kali inayotolewa na bangi hiyo ambayo wajuzi wa mambo waliifananisha na mavi makali yanayonuka yanayotolewa na mnyama Kicheche (Skunk) pindi anapoona hatari.

Laurian Adolph Mchau anageuza taka-ngumu na taka-maji kuwezesha ufanyikaji wa kilimo rununu pamoja na utunzaji wa mazingira.

Wakati polisi na wanaharakati wanatofautiana kuhusiana na ukubwa wa tatizo lenyewe, matukio ya watoto kuripotiwa kupotea yameendelea kutawala vichwa vya habari hapa nchini.