Songwe Residents File Lawsuit Against Ngorongoro Conservation Authority to Oppose Eviction
The lawsuit opposes plans to relocate them to allow for the expansion of the Mbozi meteorite conservation area.
The lawsuit opposes plans to relocate them to allow for the expansion of the Mbozi meteorite conservation area.
Wanafunzi wadai kusitishiwa ufadhili wa masomo, au kucheleweshewa malipo, bila taarifa, hali wanayosema inawasababishia usumbufu mkubwa.
Serikali yasema hapana, ikidai kwamba wazazi hawalazimiki kuwapeleka watoto huko kama shule nyingine zipo.
Wadudu hao wanadaiwa kuharibu mazao ya wakulima, hali inayotishia ustawi wa wakulima hao kutoka mikoa hiyo ya nyanda za juu kusini.
Wasema hali hiyo inaathiri maisha yao, mwenye kiwanda adai kumaliza deni ndani ya mwezi Machi 2024.
It follows the decision by the government not to proceed with the case that members of Tanzania’s artistic sector have heavily criticised.
The East African nation has seen artists arrested, prosecuted, and their works banned, which they complain fuels self-censorship.
Watu wapatao 78 kutoka kijiji cha Ifiga, Mbeya Vijijini, wanasubiri kulipwa fidia na Jiji ambalo limeuza ardhi zao kwa wananchi wengine.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved