Jeshi Sudan Siyo Taasisi Tu, Bali Dola Ndani ya Dola
Yanayotokea Sudan yanadhihirisha wazi kwamba jeshi la nchi hiyo halina nia ya kubaki kama taasisi ya ulinzi wa taifa.
Yanayotokea Sudan yanadhihirisha wazi kwamba jeshi la nchi hiyo halina nia ya kubaki kama taasisi ya ulinzi wa taifa.
Kansela huyo wa kwanza mwanamke nchini Ujerumani anategemewa kuachia ngazi mwisho mwa mwaka huu baada ya kulitumikia taifa hilo la Ulaya kwa kipindi cha miaka 16.
Miaka 36 baada ya kifo cha Raisi wa kwanza wa Guinea Sekou Toure, bado wadadisi wanahoji je, kiongozi huyo alikuwa dikteta au mlinzi wa uhuru na mapinduzi ya Guinea?
Bolivia imetoa fundisho kwamba sera za kijamaa zinatekelezekaikiwa viongozi watakuwa waadilifu na kipimo ni mafanikio yaliyopatikana kwenye Uchaguzi Mkuu wa Bolivia.
Lengo lisiwe kumpa nguvu mwanamke au mwanamme bali kumpa nguvu binadamu bila ya kujali jinsia yake, ili kila mmoja katika jamii achangie kwa ujuzi na maarifa aliyonayo. Ni hapo ndipo utakapopatikana usawa wa kweli wa kijinsia.
Watawala wanazibadili katiba ili waendelea kubakia madarakani. Katika kundi hilo kuna waliokwenda kinyume na kauli zao wenyewe kwamba wameingia madarakani sio kubakia kama wale waliowatangulia bali wataondoka watakapomaliza mihula yao kikatiba.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved