The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on April 20, 2024. Register Here

Search
Close this search box.

Author: Mohammed AbdulRahman

Changamoto za Mfumo Dume na Kujikomboa kwa Mwanamke

Lengo lisiwe kumpa nguvu mwanamke au mwanamme bali kumpa nguvu binadamu bila ya kujali jinsia yake, ili kila mmoja katika jamii achangie kwa ujuzi na maarifa aliyonayo. Ni hapo ndipo utakapopatikana usawa wa kweli wa kijinsia.

Afrika Na Demokrasia Bado Mguu Ndani, Mguu Nje

Watawala wanazibadili katiba ili waendelea kubakia madarakani. Katika kundi hilo kuna waliokwenda kinyume na kauli zao wenyewe kwamba wameingia madarakani sio kubakia kama wale waliowatangulia bali wataondoka watakapomaliza mihula yao kikatiba.