Zanzibar: Mahakama Kuu Yawapeleka Watuhumiwa Sita Rumande kwa Tuhuma za Mauji ya Sheikh Jabir Haidar
Katika kikao cha kusikilizwa kwa shtaka hilo, watuhumiwa wote walikana mashitaka dhidi yao.
Katika kikao cha kusikilizwa kwa shtaka hilo, watuhumiwa wote walikana mashitaka dhidi yao.
Hii ni wizara mama ambayo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekuwa ikijinasibu nayo kuwa ina fursa nyingi watakazozitumia kuwanufaisha Wazanzibari.
Pamoja na bajeti hii kuainisha mipango yenye tija bado ya uhaba wa walimu, kiwango kidogo cha fedha za bajeti kinachotolewa na urejeshaji hafifu wa mikopo vitaendelea kukwamisha upatikanaji wa elimu bora.
“ACT Wazalendo tunalaani hatua hiyo ya Jeshi la Polisi kumkamata kiongozi wetu na tunawataka wamuachie mara moja bila masharti yoyote,”
Wanasheria wanaeleza kuwa Kanuni haziwezi kuondoa haki inayotolewa na Katiba
ZEC imeeleza kuwa punguzo hilo linakusudia kuongeza ushiriki wa wanawake katika siasa na kupunguza vikwazo vya kifedha vinavyowakwamisha wengi wao.
The residents have voiced concerns over the plan, fearing the loss of their income sources, especially fishing, which is their main livelihood.
Ukosefu wa miundombinu, vifaa maalum na walimu wenye ujuzi ni miongoni mwa sababu zinazopelekea wakumbwe na hali hiyo.
Wadau waonya kuwa mikoko iko katika hatari ya kupotea ikiwa hatua za dharura hazitachukuliwa
Tunakushukuru sana kwa kutuchagua sisi kuwa chanzo chako kikuu cha habari. Tunaomba ufahamu kwamba, kamwe, hatuchukulii poa uamuzi wako huo!
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved