The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on April 20, 2024. Register Here

Search
Close this search box.

Author: Omari Mikoma

Wahama CCM Kisa Mradi wa Kituo cha Afya

Ni wakazi wa kijiji cha Njinjo huko Kilwa walioamua kurejesha kadi za CCM wakigomea hatua ya Serikali ya wilaya kuhamishia ujenzi wa kituo cha afya kwenye kijiji cha jirani.