The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on April 20, 2024. Register Here

Search
Close this search box.

Author: Omari Mikoma

Viongozi wa Dini Wataja Sababu Matukio ya Watu Kuuana, Kujiua Tanzania

Viongozi hao wa dini walioorodhesha sababu hizo wakati wa kikao cha mtandaoni kilichoitishwa na Umoja wa Wapigania Haki za Binadamu Wanawake Tanzania (CWHRDs) mnmo Februari 11, 2022, ikiwa ni kama juhudi za wadau kuendeleza mjadala kuhusiana na janga hilo linaloendelea kuumiza vichwa vya wadau mbalimbali.