Zipo zile za unyanyasaji wa kingono zinazolalamikiwa na wanawake wengi.
Zipo zile za unyanyasaji wa kingono zinazolalamikiwa na wanawake wengi.
Ni mwanzilishi mwenza wa MITz Group, kampuni iliyokuja na MITz Kits, vifaa vya maabara vinavyolenga kuboresha uelewa wa masomo ya sayansi.
Ni kuhusiana na mgogoro unaoendelea kati yake na wafanyakazi kuhusiana na stahiki za wafanyakazi hao.
Wafanyakazi wanadai kwamba kuna watu wana malimbikizo ya madeni ya mishahara ya zaidi ya miezi 25.
Wasema startups nyingi za Kitanzania zitapata uwekezaji mwaka 2023.
Ni vumbuzi zinazolenga kutatua changamoto mbalimbali za kijamii.
It is attributing ongoing power rationing to the little rainfall that Tanzania has been receiving.