
TCRA: Uhalifu ni Uhalifu Tu Hata Ukifanyika kwa Njia ya Simu
Mamlaka hiyo yenye jukumu la kusimamia maudhui kwenye mitandao ya kijamii imetoa wito huo katikati ya maoni ya wadau wanaolalamikia kuongezeka kwa vitendo vya udhalilishaji wanawake kwenye mitandao hiyo.







