Corruption Named as the Biggest Barrier to Access to Justice in Zanzibar
It is followed by the duration or length of proceedings/cases in courts of law; low awareness of laws among citizens; and legal representation costs.
It is followed by the duration or length of proceedings/cases in courts of law; low awareness of laws among citizens; and legal representation costs.
LHRC wants the office of the Director of Public Prosecution (DPP) to perform an oversight role in checking the quality and extent of evidence before admitting cases to court.
Mwenyekiti na Katibu wake wadai kufukuzwa kazi baada ya kutetea masilahi ya wafanyakazi. Kampuni inasema kama wafanyakazi wana malalamiko wanatakiwa watumie njia rasmi za kuyashughulikia.
Kesi hiyo ilifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza mnamo Februari 2020 na Watanzania saba ambapo watatu wengine walijiunga kwenye kesi hiyo dhidi ya Barrick mnamo August 2020.
Wanaharakati siyo tu wanadai kwamba Majaliwa hakukutana na viongozi halisi wa kimila wa Kimaasai bali hata eneo analosema kuwatengea Wamaasai waliotayari kuhama Ngorongoro la kilomita za mradi 400,000 huko Handeni, Tanga, halina uhalisia.
Ingawaje Rais Mwinyi ameahidi kuunda tume kushughulikia kesi za migogoro ya ardhi visiwani humo, Wazanzibari ambao wamekuwa wakihangaika na kesi hizo miaka nenda rudi hawana imani kama tume hiyo itakuwa na msaada kama itaundwa na watendaji wale wale ambao uadilifu wao ni wa kutiliwa mashaka.
There has been a string of events of people going missing in mysterious ways lately in Tanzania and responses from relevant authorities have been anything but satisfactory.
Ni simulizi za kupotea kwa vijana wa CHADEMA Damas Wilson na Richard ambao waliripotiwa kutoweka kwenye mazingira ya kutatanisha mnamo Oktoba 26, 2020 na kutokupatikana mpaka sasa.
The Chanzo inazungumza na mwanaharakati Tito Magoti kupata mtazamo wake wa haki za binadamu chini ya utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan na mapendekezo yake ya namna ya kuboresha mfumo wa haki jinai nchini Tanzania.
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inalenga kuipanua hifadhi hiyo kwa ajili ya kutenga eneo maalum ambalo wanyama mbalimbali watawekwa na hivyo kukifanya Kimondo cha Mbozi kuwa eneo la utalii kwa mkoa wa Songwe.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved