‘Njia Bora ya Kutatua Kero za Muungano ni Kufufua Mchakato wa Katiba Mpya’
“Kero ya msingi ni muundo wenyewe wa Muungano. [Huu] ni muundo ambao haukutupa Muungano ambao una nchi zilizoungana zina hadhi sawa, zina haki sawa, zina wajibu sawa, zinanufaika sawa, [na] zina fursa sawa”.