
Serikali Ilipanga Kukusanya Shilingi Bilioni 228 Kupitia Tozo za Miamala ya Simu. Imeweza Kukusanya Shilingi Bilioni 64 Tu
Hii ni kwa kipindi cha Julai mpaka Septemba 2021 tu.

Hii ni kwa kipindi cha Julai mpaka Septemba 2021 tu.

ACT-Wazalendo kuwemo ndani ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar ni moja ya fursa muhimu inayoweza kusaidia ukuaji wa chama hicho. Moja ya changamoto ni je, chama hicho kitafanikiwa kutafsiri mafanikio yaliyopatikana huko Zanzibar na kuyahamishia Tanzania Bara?

Ni muhimu kuanzishwe mfumo mpya utakaofanya wanawake wa vyama mbalimbali wapambane kutafuta kura kwa wananchi moja kwa moja kuliko mfumo wa sasa ambapo viti hivyo vinaonekana kama fadhila au hisani za viongozi kwa wanawake kuliko stahili yao iliyotokana na uwezo.

In 2015 the Presidents of Kenya, Rwanda, Uganda and Tanzania agreed that by 2018 their countries should be able to become more sufficient in the production of textiles using local raw materials and industries.

The traders submitted the pleas during a State House function in Dar es Salaam following an invitation by the Head of State who said she wanted to have a discussion with the traders’ representatives and see they are on the same page with the government on the recently-concluded exercise of “arranging” the traders.

Following Mugabe’s guide, here are five steps that will ensure that every nation is ruined in the shortest time possible.

Matokeo ya utafiti wa hivi karibuni yanabainisha kwamba hali hiyo inatokana na kushamiri kwa vitendo vya udhalilishaji dhidi ya wanasiasa wanawake kwenye majukwaa hayo ya mijadala na muingiliano wa kijamii.

The said amendments were introduced through Miscellaneous Amendment Act No. 4 of 2021 and Miscellaneous Amendment Act No. 5 of 2021 which were published in the special Government Gazette No. 41. Vol.102.

Wakati wengine wakibainisha kwamba hali hiyo inatokana na juhudi za vijana za kutaka kuonekana na mamlaka za uteuzi, wengine wameihusisha hali hiyo na mabadiliko ya mitazamo ya kijamii iliyokuwa ikiwazuia vijana kugombea nafasi hizo.

The history of Russia’s engagement with Africa shows that Russia has hardly been capable of providing any real alternatives to Africans. To be a responsible power, Russia needs to be able to address that challenge – what has Russia got to offer the people of Africa?