Mfahamu Mkurugenzi Mpya Wa Idara ya Usalama wa Taifa Balozi Iddi Siwa. Mabadiliko Yanamaanisha Nini?
Mabadiliko haya yanakuja takribani miezi miwili toka Tanzania ifanye mabadiliko makubwa katika Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa mnamo Juni 8, 2023.