
Oktoba 29, 2025: Tulichoka Hekima na Busara, Tukajaribu Ujinga, Tumeona Matunda Yake
Watanzania hawakuomba vitu vigumu ambavyo ilibidi watu wasafiri kwenda sayari nyingine kuvipata; vyote walivyoviomba vimo ndani ya uwezo wa watawala. Wakapuuzwa.

Watanzania hawakuomba vitu vigumu ambavyo ilibidi watu wasafiri kwenda sayari nyingine kuvipata; vyote walivyoviomba vimo ndani ya uwezo wa watawala. Wakapuuzwa.

Bila ukweli, hakutakuwa na uponyaji wa kweli na amani itabaki kuwa ndoto ya Abunuwasi.

Ikiwa siasa ni tasnia inayohusisha hisia kali na za watu wengi, uamuzi wa kushiriki kwenye shughuli za Rais katika kipindi hiki kunajenga hisia kali za uasi na chuki kwa umma dhidi ya wanachama na chama chetu.

Haitusaidii wananchi kuchukua hatua zinazoweza kuwaongezea nguvu wakandamizaji wetu pale nguvu hizo zinapotumika dhidi ya watu wa tabaka letu.

In our briefing today:
President Samia Unveils Vision 2050, Urges Focus on Implementation;
Mbowe Soft-Launches Political Comeback Amid Speculation of Upcoming Political Moves;
Lawyers of the Petitioners in Civil Suit Say They Have Received Clarification For ‘Total Shutdown’ of Tanzania’s Main Opposition Party, CHADEMA, Pending Court Decision
Development Partners Rally Behind Tanzania’s Bold ‘Dira 2050’.

She warned that such ambitions would not be met without changing the way things work and evaluate performance.

Katika miaka ya hivi karibuni, dhana ya kuabudu viongozi kupita kiasi imezidi sana Tanzania, ikichagizwa na mambo kadhaa. Hali hii ina athari nyingi kwa mustakabali wa taifa letu.

Zoezi hili la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania uteuzi linahusu nafasi Ubunge wa Jimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Ubunge wa Viti Maalum, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum, Udiwani wa Kata au Wadi na Udiwani wa Viti Maalum.

Kama tumedhamiria kuleta maendeleo kwetu sisi na kwa kizazi kiijacho, hatuna budi kufanya mabadiliko makubwa sana katika Katiba yetu, sheria zetu na taasisi zetu ili ziweze kutuondoa katika hali duni tuliyonayo ukilinganisha na mataifa yaliyoendelea.

Bajeti ya taifa ni ya kiraia, sio ya wataalamu au Wabunge pekee. Inahusu afya yetu, elimu ya watoto wetu, ajira za vijana wetu, hifadhi ya jamii, na ndoto zetu.