
Bajeti Sio Mkoba, Ni Maisha ya Kila Siku
Bajeti ya taifa ni ya kiraia, sio ya wataalamu au Wabunge pekee. Inahusu afya yetu, elimu ya watoto wetu, ajira za vijana wetu, hifadhi ya jamii, na ndoto zetu.

Bajeti ya taifa ni ya kiraia, sio ya wataalamu au Wabunge pekee. Inahusu afya yetu, elimu ya watoto wetu, ajira za vijana wetu, hifadhi ya jamii, na ndoto zetu.

CCM inaingia katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa na silaha tatu kuu: rekodi ya utekelezaji wa Ilani ya 2020–2025, dira ya maendeleo kupitia Ilani ya 2025–2030, na msingi mpana wa wanachama kote nchini.

Moja ya changamoto inayoeleza kuwakabili wanachama hao walioondoka CHADEMA ni ushawishi hafifu huku wengi wakiwaeleza kama watekelezaji wa mkakati unaoratibiwa na wengine

Nikiri kuwa ni kitabu kizuri kuanzia muundo na maudhui yake; mwandishi, kama mshauri-elekezi mzoefu katika suala zima la uchumi na sera zake, amekitendea haki na itifaki.

Riwaya hii imeandikwa katika dhana ya anthropomofiki, yaani sifa, hisia na hulka za binadamu zimefanywa na kutekelezwa na wanyama, ili kusawiri mapinduzi ya kiutawala yaliyofanyika huko Urusi miaka ya 1917.

Tafiti mbalimbali zinaonesha kwamba familia zinazoimarisha maadili na kuwasiliana vizuri hujenga kizazi cha watoto wenye ujasiri na maadili mema

Utunzi wa ilani ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unakusudia kutoa dira na muelekeo wa pamoja, kama chama, kuhusiana na vijiji na mitaa tunayotaka kuijenga.

Kitabu cha Paulo Freire, Pedagogy of the Oppressed, kinaweza kutusaidia kulifahamu tatizo linalotukabili kama Watanzania, na namna ya kulitatua.

Uanzishwaji holela wa vyombo vya habari na ukosefu wa wahariri maalumu wa lugha katika vyombo vingi vya habari huchangia pa kubwa kulikuza tatizo hili.

Utafiti mpya unaweka wazi kwamba mwenendo wa polepole, au wa kusitasita, pekee hautatosha kuilinda Tanzania dhidi ya kurudi kwa sera umizi ya kujitenga ya kiongozi wake aliyepita.