
Je, Bajeti ya Wizara ya Kilimo 2025/26 Inaakisi Matarajio ya Wakulima?
Wizara hii imeendelea kupokea fedha kidogo licha ya bajeti kuidhinisha kiasi kikubwa, huku mwaka huu ikijipanga kuzalisha mbegu bora, kuimarisha kilimo cha umwagiliaji na kuwainua vijana na wanawake.








