
Sakata la Lissu Kushitaki Kampuni ya Mawasiliano, Wanasheria Wafunguka
Mawakili wasema hata kama kampuni hiyo ilishauzwa, Lissu anaweza kuishtaki na akashinda kutokana na ushahidi atakaouwasilisha.

Mawakili wasema hata kama kampuni hiyo ilishauzwa, Lissu anaweza kuishtaki na akashinda kutokana na ushahidi atakaouwasilisha.

TCRA imeeleza kuwa maudhui hayo yameleta tafsiri hasi kwa Taifa, jambo ambalo linaathiri na kuharibu umoja, amani na mshikamano wa kitaifa

TCRA said the published content threatens and is likely to affect and harm national unity and social peace of the United Republic

Tafiti zinaonesha kwamba kugawana ni tabia inayofundishwa, na ni kitu ambacho watoto huiga na hukua nacho na siyo kuzaliwa nacho

Nimemsikia Waziri wa Utamaduni, Michezo na Sanaa, Damas Ndumbaro, akiahidi kuwa Tanzania itatwaa medali kwenye michezo ijayo ya Olimpiki itakayofanyika Marekani mwaka 2028. Ni ahadi

The development occurs as artists in Tanzania and other actors working in the country’s creative sector report increased repression of artistic freedom and artists’ freedom of expression.

Perpetrators must face the full consequences of their actions regardless of their relationship to the child. There should be no safe haven for those who harm our children.

Hifadhi imeendelea kulikalia eneo hilo la mita 800 licha ya Serikali kuendelea kukiri kwamba uamuzi wa kulichukua ulifanyika kimakosa.

CHADEMA wamefanikiwa kutuma ujumbe kwamba Serikali inayotumia jina la Watanzania kuhalalisha maamuzi yake mbalimbali, kimsingi, haijali maslahi ya Watanzania.

Muongozo wa Benki Kuu unazuia wakopeshaji wa kidigitali kudhalilisha wadaiwa wao mtandaoni na pia unalinda taarifa za mkopeshaji