
TFF, TPLB Ziamke, Azam Media Siyo Mfadhili
TPLB na TFF zinapaswa kuamka na kuanza kufikiria zinawezaje kuboresha mkataba wa matangazo ya moja kwa moja ili kujiongezea kipato na kupanua wigo wa washirika wake, ambao zamani waliitwa wadhamini.

TPLB na TFF zinapaswa kuamka na kuanza kufikiria zinawezaje kuboresha mkataba wa matangazo ya moja kwa moja ili kujiongezea kipato na kupanua wigo wa washirika wake, ambao zamani waliitwa wadhamini.

Watu wengi Zanzibar bado wanahusisha suala la wanawake kuongoza watalii na uhuni huku wengine wakisema wanafanya kazi hiyo kujiuza kwa wazungu

In our briefing today; Samia hosts Museveni, Ruto in an unannounced meeting over EAC integration; Experts discuss ways banks can increase contribution to Tanzania’s economy;Two arrested for publishing ‘false’ information about Govt officials on social media

Police say the arrest is part of an ongoing operation to arrest people who publish “false” information online and bring them to book.

Chapa yake ya saba ikichapishwa mwaka 2018 na Mkuki na Nyota, Kufikirika ni moja kati ya kazi za fasihi zilizompatia heshima kubwa mwandishi wake, Shaaban Robert, na kuendelea kuakisi jamii halisi ya Kitanzania.

Viongozi wa ACT-Wazalendo wanapaswa kulitafakari kwa kina suala hili na kutoruhusu kuendeshwa na hasira na jazba. Hasira, hasara, Waswahili wanaonya.

In our briefing today: Samia reveals the motivation behind the recent government shake-up: Putting government close to the people as the election nears ;Tanzania Foreign Minister wraps up visit to Rwanda, meets President Kagame; Tanzania’s clean energy transition gains momentum as more actors intervene

President Samia shared the rationale behind this reshuffle. She emphasized the importance of responding to the needs of citizens and being closely connected to the people.

During this visit, Makamba met with his Rwandan counterpart, Vincent Biruta in a discussion of a wide array of topics including investment projects, trade, and infrastructure.

Largest banks in Tanzania by assets value (TZS):CRDB- 12.5 Trilion; NMB-12.2 Trilion; NBC-3.6 Trilioni