
Utitiri wa Marathoni Unakisaidiaje Chama cha Riadha Tanzania?
Karibu kila mwezi, kwa mwaka uliopita wa 2023, tulishuhudia mbio za marathoni zikiendeshwa kwa umahiri mkubwa na wa hali ya juu ambao hata Chama cha Riadha (AT) chenyewe hakiwezi kufikia viwango hivyo.








