Mazungumzo na Wakili Ben Ishabakaki
Mazungumzo na Wakili Ben Ishabakaki
Wakazi wa Arusha wamejikuta katika wimbi la hofu baada ya wimbi baada ya mtu anayevamia nyumba na kubaka kuibuka tena
Vijana wanaosadikika kuwa ni kundi la kihalifu linalojulikana kama "Panya road" wavamia mtaa wa Gogo, Kata ya Zingaziwa Chanika
Wadau wa sekta ya habari na vyombo vya habari ulimwenguni kote wamekuwa wakibainisha umuhimu wa wahariri na waandishi wa habari kuendana na kasi ya mabadiliko ya kiteknolojia.
Ugonjwa wa ischemic heart disease umekuwa umeonekana ni ugonjwa ambao unaua watu wengi sana katika nchi nyingi zilizoendelea, lakini katika miaka ya karibuni hilo tatizo pia limeanza kuonekana katika hizi nchi zinazoendelea
Ni ile iliyovujisha ujumbe wa kuomba kazi kutoka kwa mmoja wa watumiaji wa mtandao huo wa kijamii.
Kuna haja ya kubadilisha mfumo mzima wa uzalishaji mali na usambazaji wake na siyo kuhubiri watu wale vizuri na kufanya mazoezi tu.