The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on April 20, 2024. Register Here

Search
Close this search box.

Mwabukusi Rais Mpya TLS

Mwabukusi ameibuka kidedea kwa kupata kura 1,274 mbele ya mgombea Sweetbert Nkuba aliyepata kura 807 Jumla ya wapiga kura wote walikuwa ni 2,206

subscribe to our newsletter!

Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mawakili imemtangaza Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi kama Rais mteule wa Chama cha Mawakili (TLS) akipokea kijiti kutoka kwa Harold Sungusia.

Mwabukusi ameibuka kidedea kwa kupata kura 1,274 mbele ya mgombea Sweetbert Nkuba aliyepata kura 807 Jumla ya wapiga kura wote walikuwa ni 2,206

Uchaguzi huu wa TLS umevutia watu wengi hasa kutokana na vuta ni kuvute iliyotokea baada ya Mwabukusi kuondolewa na kamati ya rufaa ya uchaguzi mnamo Julai 05,2024, jambo ambalo alilipinga kwa kwenda Mahakamani.

Mnamo Julai 26, Mwabukusi alirejeshwa kwenye kinyang’anyiro na Mahakama ya Tanzania.

Digital Freedom and Innovation Day
The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on Saturday April 20, 2024 at Makumbusho ya Taifa.

Register to secure your spot

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *