Zabuni App seeks to enhance transparency and accountability in contracting in Tanzania.
Zabuni App seeks to enhance transparency and accountability in contracting in Tanzania.
Kilicho cha muhimu ni kuhakikisha kuwa wananchi kupitia vyombo vyao vya kidemokrasia wanakuwa na mamlaka ya kujiamulia na kujisimamia katika shughuli zao za kujiletea maendeleo.
Tanzania inatajwa kutokuwa vizuri kwenye eneo la haki na usalama wa kimtandao. Serikali na makampuni ya simu ni wadau wawili wakuu wanaotupiwa lawama kwa hali ambayo Tanzania inajikuta kwa sasa kwenye eneo hilo.