Kaulimbiu ya ‘Mapinduzi Daima’ Itekelezwe Kwa Vitendo
Kung’ang’ania kauli kwamba CCM Zanzibar ilishika dola kwa mtutu wa bunduki na hivyo haiwezi kuiachia kwa sanduku la kura ni kujiangamiza.
Kung’ang’ania kauli kwamba CCM Zanzibar ilishika dola kwa mtutu wa bunduki na hivyo haiwezi kuiachia kwa sanduku la kura ni kujiangamiza.
Kati ya kujikanganya katika misimamo na kupoteza baadhi ya wanachama wake shupavu, CHADEMA imechagua la pili kujitanzua na hali iliyotishia kukipasua chama hicho cha upinzani
Suluhisho sio kujiunga ama kutojiunga kwa ACT-Wazalendo katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Suluhisho ni kufanyika kwa mjadala wa kina kuhusu tuhuma za kasoro za kimfumo zinazoibuka kila wakati wa uchaguzi na kuzifanyia kazi.
Msingi wa sintofahamu ya kisiasa ya Zanzibar kwa sasa ni upigwaji wa Kura ya Mapema ambayo viongozi na wafuasi wa ACT-Wazalendo waliipinga wakihisi imewekwa kupora ushindi wao lakini mamlaka zikapuuza kilio hicho.
Bunge la 12 limepewa jina la ‘Bunge la Kijani’ na baadhi ya wachambuzi. Ni bunge ambalo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani wala Baraza Kivuli la Mawaziri. Tutegemee nini kutoka kwa bunge hili?
Jumapili ya Novemba 8, 2020, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilitoa taarifa kuwa vyama vyenye sifa ya kupata ubunge wa viti maalumu ni chama tawala Chama cha Mapinduzi (CCM) na chama kikuu cha upinzani nchini Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Hii inatokana na ukweli kwamba ni vyama hivyo tu pekee nchini Tanzania ndivyo ambavyo viliweza kupata asilimia tano ya kura zote za ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa Octoba 28, 2020. Jumla ya vyama...
The parties have vowed to lead an “indefinite demonstration” from Monday to pressurise authorities to announce election rerun as NEC dismisses claims of voter fraud
Bolivia imetoa fundisho kwamba sera za kijamaa zinatekelezekaikiwa viongozi watakuwa waadilifu na kipimo ni mafanikio yaliyopatikana kwenye Uchaguzi Mkuu wa Bolivia.
Tanzania inatajwa kutokuwa vizuri kwenye eneo la haki na usalama wa kimtandao. Serikali na makampuni ya simu ni wadau wawili wakuu wanaotupiwa lawama kwa hali ambayo Tanzania inajikuta kwa sasa kwenye eneo hilo.