Ubashiri Hatma ya Samatta Stars Haukutakiwa Kuwepo
Kutotoa maelezo kumuhusu nyota na kipenzi cha mashabiki ni kufungua mlango wa ubashiri usiotakiwa na usio na umuhimu wowote.
Kutotoa maelezo kumuhusu nyota na kipenzi cha mashabiki ni kufungua mlango wa ubashiri usiotakiwa na usio na umuhimu wowote.
Hatuwezi kuinamisha vichwa na kusubiri neema ya Mungu itujie tujikute tuna kanuni nzuri za kudhibiti matumizi ya fedha na uwezekano wa kuwepo michezo michafu katika mpira wa miguu.
Wakati tukiwakaribisha nyumbani wanariadha wetu waliokuwa Paris, Ufaransa kushiriki – si kushindana—Olimpiki, ni muhimu kutafakari jinsi ya kunyanyua michezo mingine na kuipa mvuto.
Ni muhimu sana kushirikisha umma katika mambo muhimu kabla ya kukimbilia kuyaamua na kuyatangaza.
Ukiangalia tuzo zote, hakuna inayomtofautisha Mwanasoka Bora wa Msimu, na mshindi wa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Kombe la CRDB.
Ni muhimu TFF ibadili mfumo wake wa kupata washindi wa tuzo na iendane na dunia ya sasa.
Ni muhimu sana kwa mamlaka kuongoza mabadiliko yoyote ya kanuni yanayolenga kuboresha ligi nzima.
Yusuf Manji aliwaachia wafadhili na watu wenye nia ya dhati ya kuzisaidia klabu za wananchi.
Kwa kuwa tumeruhusu wachezaji 12 wa kigeni kusajiliwa, ni muhimu klabu zetu zikapewa jukumu pia la kuhakikisha zinahusika kukuza vipaji vya ndani.
Sitaki kuamini kuwa mikataba ya wachezaji wazawa ni mizuri kiasi kwamba maslahi yote ya mchezaji hushughulikiwa bila ya matatizo anapomaliza mkataba wake au kuachwa.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved