The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on April 20, 2024. Register Here

Search
Close this search box.

Author: Angetile Osiah

Mpira wa Miguu Sasa ni Sekta Muhimu, Uratibiwe

Serikali haina budi kuungalia mchezo wa soka kwa jicho la ziada na kufanya kile kinachowezekana kudhibiti ili kuondoa kuibuka na kupotea kwa klabu na hivyo hata ule mvuto pia kupotea.

Tumejitahidi AFCON, Lakini Tunajipangaje Upya?

Tunaposema tutajipanga upya, tuseme kwa dhati kuwa tumeamua kurekebisha mambo tofauti na yalivyokuwa mwaka 2019 tulipofuzu kwa mara ya pili na mwaka 2023 tulipofanikiwa kupata pointi mbili za kwanza.

Kamati ya Hamasa Bila ya Mkakati wa TFF

Bila ya mkakati wa masoko au wa uhamasishaji ulioandaliwa na TFF, kamati ya hamasa inaweza isifanye kazi kwa ufanisi na kuishia kukosolewa, kudhihakiwa na kutukanwa