Kwa Nini Ni Muhimu Kumjengea Mtoto Tabia ya Kujitegemea Mapema
Malezi ya watoto ni jambo lenye kuhitaji subira na uvumilivu. Muamini mtoto. Hatokuangusha.
Malezi ya watoto ni jambo lenye kuhitaji subira na uvumilivu. Muamini mtoto. Hatokuangusha.
Tafiti zinaonesha kwamba kutumia muda mwingi kwenye televisheni sehemu ya ubongo inayohusika na uelewa haikui bali husinyaa.
Kumuomba msamaha mtoto wako inasaidia kuimarisha mahusiano mazuri baina yenu na kumjengea dhana ya kujiamini.
Watoto wanahitaji kuelezwa kwamba siyo kosa lao, wao ni wagonjwa na wanapaswa kumeza dawa kila siku.
Suala la umri sahihi wa mtoto kumiliki simu ya mkononi huwa na utata, japo wataalamu na watafiti wa maendelo na makuzi ya watoto wanashauri kuwa
Siyo vyema kwa mzazi, ama mlezi, aonapo mtoto anacheua nae akapuuzia kwa kujua kuwa ni tendo la kawaida.
Ukuaji vema wa ubongo wa mtoto unahitaji lishe bora, huduma bora ya afya, mawasiliano chanya, na mazingira salama.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved