Kwa Nini Wimbo wa ‘Ameyatimba Remix’ Unastahili Kutolewa Mtandaoni

Sikuwa mtandaoni siku ya Jumamosi ya Novemba 4, 2023. Nilipoingia huko Jumapili jioni, nilikutana na malalamiko mengi kutoka kwa wachangiaji kadhaa kwamba kuna video ya wimbo imetoka na haina maudhui mazuri. Si maneno, si picha.  Malalamiko mengi yalidai kuwa video ya wimbo huo inahalalisha utamaduni wa ubakaji. Wimbo huo uliopewa jina la Ameyatimba umeimbwa na […]