Laiti Kama Ningepata Nafasi ya Kumhoji Shaaban Robert
Sidhani kama kuna mwandishi yeyote ambaye nimewahi kumsoma aliyemwelezea mke wake kipenzi kwa jinsi alivyofanya Shaaban Robert.
Sidhani kama kuna mwandishi yeyote ambaye nimewahi kumsoma aliyemwelezea mke wake kipenzi kwa jinsi alivyofanya Shaaban Robert.
Mara nyingi waandishi wa habari hudhani kwamba changamoto wanazopitia, kama kukosekana kwa uhuru, ni mpya. Kitabu hiki kinatuonesha kwamba changamoto hizi si mpya na zimekuwepo siku zote.
Inasikitisha kwamba kwa kuwahukumu wanawake hawa, jamii inaruhusu udhalimu wanaotendewa na wasimamizi wa sheria wasio waadilifu ambao wanawabaka na kuwadhalilisha.
Saleh, gwiji la utangazaji kutoka Zanzibar, anasema amedhamiria kuyanyoosha yote yaliyopinda kwenye jamii kupitia uandishi wake.
Sikuwa mtandaoni siku ya Jumamosi ya Novemba 4, 2023. Nilipoingia huko Jumapili jioni, nilikutana na malalamiko mengi kutoka kwa wachangiaji kadhaa kwamba kuna video ya
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved