Author: Jenifer Gilla

Wananchi Mkuranga Walia Na Athari Za Mabadiliko Tabia Nchi

 Kina cha Bahari ya Hindi kimeongezeka na kufanya mashamba kutokufaa tena kwa kilimo kwa sababu ya chumvi, huku uvuvi nao ukidumaa kwa samaki kuwa adimu kitu kinachopelekea watu kuvihama vijiji vyao na kuhamia sehemu nyengine katika kujitafutia maisha.