Namna Kuzimwa Kwa Intaneti Kulivyoathiri Wafanyabiashara Wanawake
Wafanyabiashara wengi wanasema kuzimwa kwa intaneti kipindi cha Uchaguzi Mkuu kuliathiri biashara zao. Wakati baadhi waliweza kupunguza makali ya madhara hayo kwa kutumia teknolojia ya VPN, wengine hata hiyo VPN hawakuweza kuitumia.