Kwa Nini Wanasiasa Wanawake Wanaikimbia Mitandao ya Kijamii?
Matokeo ya utafiti wa hivi karibuni yanabainisha kwamba hali hiyo inatokana na kushamiri kwa vitendo vya udhalilishaji dhidi ya wanasiasa wanawake kwenye majukwaa hayo ya mijadala na muingiliano wa kijamii.