Simba Bado Ina Nafasi kwa Al Ahly Kama Timu Itaandaliwa Vizuri
Maandalizi yasiwe ya kimbinu tu, bali kisaikolojia pia ili wachezaji waweze kujitambua kuwa wanaweza kupata ushindi katika mazingira magumu.
Maandalizi yasiwe ya kimbinu tu, bali kisaikolojia pia ili wachezaji waweze kujitambua kuwa wanaweza kupata ushindi katika mazingira magumu.
Hata pale ambapo watu wake wa karibu walipokuwa hawamwelewi, Utubora, muhusika mkuu katika riwaya hiyo, alisimamia msimamo wake – alitaka kuifurahisha nafsi yake tu na si ya mtu mwengine yeyote.
Mageuzi ya kweli ya kisiasa ni kifo kwa CCM, na viongozi wa chama hicho tawala wanalifahamu hilo vizuri sana.
ZBC, ambalo ungedhani lingekuwa na uwezo na utashi wa kuwa na mhariri mahususi wa lugha, haliwezi kutegemewa kufanya makosa ya lugha yatokanayo na uzembe na kukosekana kwa umakini.
Watu wasio na uhakika wa kula, wakipata chakula watakipika kwa nishati ya bei ya chini zaidi.
Lack of transparency and communication are key to the generally negative reaction to major government pronouncements.
Kama jamii, tunataka kuona maafisa wa polisi ambao ni mfano wa haki, uadilifu na huruma. Kwa sasa, hata hivyo, maafisa hao hawana sifa hizo.
Haya mambo ya kutaka ushindi kwa nguvu katika kila mechi, yanaweza kutupa picha bandia kuwa tuna timu nzuri, kumbe hatujui hata uzuri wake uko sehemu gani na kushindwa kuuimarisha.
Ikiwa makampuni mengine ya madini yameingia ubia na Serikali kuunda kampuni za pamoja, na hivyo kuiwezesha Serikali kupata gawio, kwa nini isiwe GGML?
The choice of ‘human dignity’ as a reference framework underscores its foundational and all-encompassing usage under international human rights law, including equality and non-discrimination.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved