Askari Jamii Bandia Walivyotoa Uhai wa Kamanda wa Polisi Mwanza Liberatus Barlow
Ni mauaji yaliyotokea Oktoba 14, 2012, jijini Mwanza dhidi ya Kamanda Barlow na kupelekea kuhukumiwa kwa vijana waliohusika na mauaji hayo waliokuwa wanajifanya Askari Jamii.