
Panga la Kamati Kuu CCM Lawashukia Wabunge Zaidi ya 40. Hawataonekana Kwenye Kura za Maoni CCM
Wabunge zaidi ya 40 ambao wako Bungeni kwa sasa hawataonekana katika kura za maoni ya chama hicho, baadhi ya majina yaliyokumbwa na panga hilo yameendelea kuzua gumzo kubwa mitandaoni.







