
Siku ya Tatu ya Kesi ya Kikatiba Juu ya Haki ya Faragha na Mawakili: Lissu Amhoji Mkuu wa Gereza, Majaji Wauliza Viongozi wa CHADEMA Kuzuiliwa Kumtembelea
Lissu amehoji juu ya mawakili wake na viongozi wenzake wa CHADEMA kuwekewa vikwazo kumuona, hoja ambazo Mkuu wa Gereza amezikanusha








