
Bajeti ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Inaakisi Umuhimu wa Sekta ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi?
Hii ni wizara mama ambayo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekuwa ikijinasibu nayo kuwa ina fursa nyingi watakazozitumia kuwanufaisha Wazanzibari.







