Ni Kwa Kiasi Gani Mitaala Yetu Inawawezesha Wanafunzi Kutafakari?
Sambamba na kurudisha stadi za kazi shuleni ni muhimu sana pia kurudisha mitaala inayochochea fikra na ubunifu.

Sambamba na kurudisha stadi za kazi shuleni ni muhimu sana pia kurudisha mitaala inayochochea fikra na ubunifu.

Tusiangalie takwimu tu, tujue kwamba kila tarakimu ya mtoto aliyekosa fursa ya kujiendeleza kielimu ni mtoto mwenye ndoto yake.